lenye uwezo wa kutengeneza mvua ua mawe kubwa na vimbunga vya ajabu, ingawa ni asilimia mbili tu hufanya hivyo. mawingu haya yanaweza kuwa makubwa sana, mpaka maili 50 kwa upana na yanaweza yakaenda mpaka futi 65, 000 juu angani. yanaweza yakawa makubwa sana kiasi cha kuzuia mwanga wa mchana, kufanya ukisimama chini yake kuwa peusi sana.
|
I found myself stalking a single type of giant cloud called the super cell, capable of producing grapefruit-size hail and spectacular tornadoes, although only two percent actually do. These clouds can grow so big, up to 50 miles wide and reach up to 65, 000 feet into the atmosphere. They can grow so big, blocking all daylight, making it very dark and ominous standing under them.
source
Corpus name: QED. License: not specified. References: https://opus.nlpl.eu/QED.php |