Si alguien se toma el trabajo de etiquetar todos estos santos e indicar quiénes son, mi foto de la Catedral de Notre Dame se enriquece de pronto con todos esos datos, y puedo utilizarla como punto de entrada para bucear en ese espacio, en ese metaverso, usando las fotos de todos los demás, y hacer un tipo de experiencia social de modelos y usuarios cruzados de esa forma.
|
Kama kuna mtu angewaunganisha watakatifu hawa wote na kusema wao ni akina nani, kwa hiyo picha yangu ya kanisa kuu la Notre Dame ingeboreshwa na vielelezo hivyo vyote, na ninaweza kuitumia kama njia ya kuingia katika sehemu hiyo, katika takwimumaneno, kwa kutumia picha za watu wengine, na kufanya mwingiliano na mwingiliano wa watumiaji kwa njia hiyo.
source
Corpus name: QED. License: not specified. References: https://opus.nlpl.eu/QED.php |